Skip to main content
Skip to main content

Kindiki: Hatutoki serikalini

  • | Citizen TV
    5,592 views
    Duration: 3:06
    Kithure Kindiki amesema serikali itaendelea kuwa imara, akiwataka wakazi wa Mlima Kenya kudumisha umoja na kukataa kugawanywa kwa misingi ya kisiasa. Akizungumza katika hafla ya wakulima wa maziwa mjini Meru, Kindiki aliwahimiza wakazi wa eneo hilo kuendelea kumuunga mkono William Ruto, akisisitiza kuwa nafasi yake kama Naibu Rais iko thabiti. Pia aliwataka viongozi wa Mlima Kenya kuachana na siasa za migawanyiko na kuunga mkono ajenda ya maendeleo ya serikali.