- 262 viewsDuration: 1:28Kiongozi wa Chama cha The People's Prosperity Party, Eliud Owalo, akosoa mipango ya serikali ya kuwawezesha vijana na kina mama . Akizungumza Kakamega, Owalo auliza chanzo cha mamilioni ya pesa zigawiwazo vikundi vya bodaboda na vikundi vya wanawake kwa jina la kuwawezesha, akisema serikali yapaswa kutoa suluhisho endelevu badala ya kuwapa watu misaada .