17 Oct 2026 7:35 pm | Citizen TV 1,126 views Duration: 1:31 Aliyekuwa Gavana wa Meru Kiraitu Murungi amekashifu siasa za humu nchini, akisema zinazidi kutawaliwa na pesa badala ya misingi na maadili ya kidemokrasia.