Skip to main content
Skip to main content

Kitendawili cha afya ya Lichuma baada ya kupatikana kwenye hali tatanishi

  • | Citizen TV
    8,091 views
    Duration: 3:20
    Mwanaharakati wa Mathare Davis Lichuma bado amelazwa hospitalini na anaripotiwa kuwa hajaweza kuzungumza kwa siku ya tatu baada ya kupatikana kwake. Hali yake imeibua kitendawili baada ya ripoti za ukaguzi wa madaktari kuonyesha kuwa hana majeraha yoyote mwilini. Familia yake sasa ikimhamisha mwanaharakati huyo kutoka Hospitali ya Nairobi Women’s. Viongozi wa upinzani waliomtembelea wanaitaka serikali kutoa majibu kuhusu alikokuwa Lichuma.