- 301 viewsDuration: 1:07Kituo cha Biashara cha BBS kinaadhimisha miaka mitatu tangu kuanzishwa mtaani Eastleigh hapoa jijini nairobi. kinasifiwa kwa kuleta huduma mbalimbali sehemu moja, kubuni nafasi za ajira na kuchangia kuboresha usalama katika eneo hilo.