Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha kidijitali chafunguliwa Maralal, Samburu

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 2:44
    Kituo cha kidijitali kimefunguliwa Maralal, Samburu, kwa lengo la kuwapa vijana ujuzi wa kutumia teknolojia na mtandao. Vijana wanatarajiwa kutumia ujuzi huo kubuni fursa za ajira.