30 Jul 2026 1:47 pm | Citizen TV 260 views Duration: 3:32 Kituo maalum cha kuhifadhi na kutoa mafunzo ya tamaduni na mila za jamii za abantu kimeanzishwa katika eneo la Makoyo eneo bunge la Kilome kaunti ya Makueni. wakenya wametakiwa kutopuuza mila na tamaduni zdenye maadili.