Skip to main content
Skip to main content

Kituo cha viwanda cha Meru kitakuwa cha kwanza kitazinduliwa

  • | Citizen TV
    959 views
    Duration: 1:23
    Serikali imetangaza uzinduzi rasmi wa vituo vya viwanda vinane kufikia mwisho wa mwaka huu ili kusisimua ukuaji wa uchumi mashinani na ongezeko la mapato kwa wakulima na wafugaji kupitia kuongeza thamani za bidhaa.