24 Jul 2026 1:26 pm | Citizen TV 255 views Duration: 2:17 Wakulima wa chai huko Kirinyaga ,kupitia usaidizi wa KTDA na JICA, wapokea vifaa vya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata chai kidhamiriwacho kukidhi mahitaji ya wakulima wadogo