Skip to main content
Skip to main content

Kizaa nje ya kiwanda cha Keroche baada ya madalali kufungiwa nje

  • | Citizen TV
    2,890 views
    Duration: 1:36
    Kizaa kilishuhudiwa nje ya kiwanda cha kutengeneza mvinyo cha Keroche eneo la Naivasha, kaunti ya Nakuru, baada ya madalali wanaodai kupewa idhini na mahakama kufungiwa nje ya kiwanda hicho.