Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa katika makafani ya Kilungu baada ya utata wa kifo cha Makau

  • | Citizen TV
    4,575 views
    Duration: 2:36
    Kizaazaa kiliibuka katika makafani ya Hospitali ya Kilungu kufuatia matokeo ya upasuaji wa mwili wa Gedion Makau, aliyefariki akiwa ndani ya seli za polisi katika kituo cha Kilungu, Kaunti ya Makueni. Uchunguzi umebaini kuwa Makau alifariki kutokana na kukosa hewa, lakini ripoti hiyo haikubaini iwapo alijinyonga au alinyongwa. Familia yake imejitenga na ripoti hiyo, ikisisitiza kuwa Makau aliuawa.