Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa mazishini huku mbunge Peter Salasya kufurushwa na wafuasi wa Benjamin Washiali

  • | NTV Video
    35,856 views
    Duration: 2:24
    Kizaazaa kilizuka kwenye mazishi ya nduguye gavana wa Kakamega marehe Silas Barasa katika shule ya Khabondi eneo bunge la Mumias Mashariki baada ya mbunge wa eneo hilo Peter Salasya kufurushwa na wafuasi wa aliyekuwa mbunge wa eneo hilo Benjamin Washiali. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya