Skip to main content
Skip to main content

Klimo Biashara: Wakulima Lamu wanufaika na kilimo cha pamba ya BT Cotton Mpeketoni

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 3:10
    Wakulima kaunti ya Lamu sasa wanafanikisha mbinu mpya za kilimo cha pamba kwa kutumia aina ya mbegu zilizoboreshwa kijenetiki, wakilenga kufufua zao ambalo hapo awali lilikuwa uti wa mgongo wa uchumi wa eneo la pwani. Kadri matumizi yanavyoanza kuongezeka, mabadiliko haya yanabadilisha uzalishaji na namna wakulima wadogo wanavyounganishwa na soko. Mengi kwenye Kilimo Biashara wiki hii na Denis Otieno