Kufuatia changamoto za kiuchumi zilizosababisha kufungwa kwa baadhi ya biashara ndogo na za kati, chama cha wafanyabiashara na viwanda nchini, KNCCI, sasa kimeanza kushirikiana kwa karibu na vyama vya akiba na mikopo ili kutoa ufadhili na kuimarisha biashara hizo.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya