Skip to main content
Skip to main content

KNCCI yasema kiwanda cha mafuta katika Kaunti ya Lamu kitaimarisha uchumi

  • | Citizen TV
    964 views
    Duration: 1:52
    Chama cha Kitaifa cha wafanyabiashara na viwanda maarufu Kenya National Chambers of Commerce and Industry chaamini kuwa mradi upendekezwao wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika Kaunti ya Lamu utaimarisha uchumi wa eneo hilo na kuboresha maisha ya wakazi, hasa vijana.