Skip to main content
Skip to main content

KNCHR imezitaka DCI, NCIC na huduma za polisi kuchukua hatua dhidi ya wanaozua vurugu

  • | NTV Video
    292 views
    Duration: 2:45
    KNCHR imezitaka DCI, NCIC na huduma za polisi kuchukua hatua kali dhidi ya waliopanga na kuzua vurugu za kisiasa, uchochezi na madai ya matumizi ya magenge na wahuni yaliyopangwa na kukusudia kuzua vurugu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya