Skip to main content
Skip to main content

KNCHR yamkabidhi rais William Ruto mwongozo wa kufidia waathiriwa wa ukiukaji wa haki za kibinadamu

  • | NTV Video
    194 views
    Duration: 2:41
    Tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu (KNCHR) imemkabidhi rais William Ruto mwongozo wa kufidia waathiriwa wa ukiukaji wa haki za kibinadamu zikiwemo zilizoibuka kutokana na ukatili katika maandamano ya kisiasa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya