Skip to main content
Skip to main content

KNCHR yaonya dhidi ya kufurushwa kwa wahamiaji bila kusikilizwa

  • | Citizen TV
    975 views
    Duration: 1:21
    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu (KNCHR) imeonya dhidi ya kufurushwa au kuchukulia hatua zinazokiuka sheria wakimbizi na wahamiaji bila ya kuwapa nafasi ya kusikilizwa na kukata rufaa kupinga amri iliyotolewa na rais william ruto kuhusu wafanyibiashara wa kigeni.