Skip to main content
Skip to main content

KNCHR yawasilisha ripoti ya fidia ya waathiriwa Ikulu, Ruto aomba msamaha

  • | Citizen TV
    579 views
    Duration: 1:55
    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNCHR) imewasilisha ripoti kuhusu mfumo wa kuwalipa fidia waathiriwa wa ukiukwaji wa haki za binadamu katika Ikulu ya Nairobi. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, zaidi ya watu 245 wameuawa tangu mwaka 2017, huku mamia wakijeruhiwa na mali kuharibiwa.