- 170 viewsDuration: 1:23Kongamano la maendeleo ya Afrika linaendelea kwa siku ya pili katika jumba la mikutano la KICC hapa jijini nairobi. Rais Wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenyeji wake rais William Ruto wamefungua kongamano hilo rasmi ambalo linalohudhuriwa na marais na wakuu wa serikali 30 za mataifa ya afrika pamoja na wawekezaji . Masuala ya uchumi wa baharini na maziwa, afya na kilimo ni miongoni mwa ajenda kuu katika kongamano hili.