- 114 viewsDuration: 5:54Serikali yashinikiza vikwazo vikali kwa meli zikiukazo sheria na kanuni za uvuvi duniani ikisema changamoto hii yachangia kwa kupungua kwa samaki. Waziri wa uchumi wa bahari na maziwa Ali Hassan Joho ataka ushirikiano na kubuniwa kwa mbinu za kisasa zinazotumia teknolojia na kupigwa mafuruku kwa meli ili kutatua suala hili duniani. Joho amezungumza katika kongamano la bahari la kimataifa jijini Mombasa.