Skip to main content
Skip to main content

KPA yakabidhi wavuvi wa Msambweni kiwanda cha kuhifadhi samaki

  • | Citizen TV
    241 views
    Duration: 2:23
    Mamlaka ya bandari nchini imewakabidhi wavuvi na wachuuzi wa samaki wa Msambweni kaunti ya Kwale kiwanda cha kuhifadhi samaki na kutengeneza barafu kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 126.