Skip to main content
Skip to main content

KTDA kutoka ukanda wa Gusii yaunga mkono makato ya unyevunyevu wa chai

  • | Citizen TV
    197 views
    Duration: 1:31
    Wakurugenzi wa mamlaka ya ustawishaji chai nchini (KTDA) kutoka ukanda wa Gusii waunga mkono hatua ya makato ya unyevunyevu wa chai kwa wakulima wakisema hatua hiyo ni ya kisheria huku lengo lake likiwa ni kuboresha viwango vya chai nchini.