Skip to main content
Skip to main content

KTDA yachukua hatua za usalama kuelekea msimu wa El Niño

  • | Citizen TV
    257 views
    Duration: 1:26
    Huku msimu wa mvua iliyotabiriwa kuwa elnino ukikaribia, mamlaka ya ustawishaji chai nchini KTDA inasema imeanzisha hatua za kuhakikisha usalama wa wakazi, walioko karibu na mitaro mikubwa ya kusambaza maji .