- 2,006 viewsDuration: 3:20Kufungwa kwa Kampuni ya Tata huko Magadi Kaunti ya Kajiado na Rais William Ruto kumewaacha wenyeji katika njia panda.Baadhi yao wakiitaka serikali kusuluhisha tofauti zake na Kampuni ya Tata huku wengine wakisema Kampuni hiyo ifurushwe kabisa. Aidha wakazi wanadai kwamba Tata ingepaswa kuleta maendeleo zaidi kwa Jamii zinazopakana na Kampuni hiyo ya kuchimba Madini