- 22,702 viewsDuration: 1:39Kiongozi wa chama cha Upinzani Tanzania John Heche ameitaka serikali ya nchi hiyo kuelezea alipo aliyekuwa balozi wa nchi hiyo huko Cuba Humphrey Polepole. Shutuma ambazo mamlaka zimekanusha Jeshi la polisi nchini Tanzania kwa upande wake limeambia BBC kuwa limeanzisha rasmi uchunguzi wa tuhuma za kutekwa kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole kama zilivyotolewa na familia yake. #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw