- 1,055 viewsDuration: 1:09Wizara ya Afya imewaonya wananchi dhidi ya kujihusisha na vitendo vya kukumbatia miti kwa muda mrefu bila kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu, ikisema kuwa shughuli hiyo inaweza kuwa nzito kwa mwili na kuhatarisha afya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya