- 10,214 viewsDuration: 2:45Maafisa wa polisi jijini Nairobi wanawazuiliwa watu 9 akiwemo meneja wa klabu moja jijini Nairobi, kufuatia mauaji ya mfanyabiashara mmoja. Brian Muendo alipigwa na kuuawa nje ya klabu ya soma eneo la Odeon huku mshukiwa mwingine pia akiuguza majeraha kwenye tukio tofauti.