Skip to main content
Skip to main content

Kizaazaa Kikuyu huku mkutano wa Gachagua ukitibuliwa na polisi

  • | Citizen TV
    20,080 views
    Duration: 3:02
    Licha ya jaribio hilo la wahuni kuzuia mkutano wa chama cha DCP mjini Kikuyu, wafuasi wa kinara wa chama hicho Rigathi Gachagua walimiminika kwenye barabara kuu ya kuelekea mjini Kikuyu ambapo mkutano wao ulikumbwa na kizaazaa na vitoza machozi, polisi wakiwatawanya wafuasi hao kila mara walipojaribu kukutana. Polisi pia walifyatua risasi hewani mara kwa mara huku Gachagua akilazimika kuwahutubia wafuasi wake kwa muda mfupi kwenye barabara ya Southern Bypass. Gachagua na wafuasi wake hawakuweza kufika Kikuyu mjini kama ilivyopangwa.