Skip to main content
Skip to main content

Baadhi ya miili ya wanafunzi walioangamia katika shule ya Utumishi Academy iliteketea kabisa

  • | Citizen TV
    31,680 views
    Duration: 7:49
    Baadhi ya miili ya wanafunzi walioangamia kwenye mkasa wa moto katika shule ya wasichana ya Utumishi wateketea kiwango cha kutojulikana. Mpasuaji wa serikali Dkt. Titus Ngulungu anasema mchakato wa kutambua miili kwa kutumia msimbojeni wa DNA utatumika kusaidia kutambua miili. Miili ya waathiriwa ilipelekwa katika makafani ya hospitali ya Naivasha.