Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa DCI wawakamata wanafunzi washukiwa 8 wa shule ya upili ya wasichana ya Utumishi Gilgil

  • | Citizen TV
    76,071 views
    Duration: 4:41
    Maafisa wa DCI wawakamata wanafunzi wananne wa shule ya upili ya wasichana ya Utumishi Gilgil, wakihusishwa na kuteketeza bweni la shule hiyo na kusababisha vifi vya wenzao 16 huku wengine saba wakijeruhiwa.