Skip to main content
Skip to main content

KUPPET yaibua wasiwasi kuhusu joto la kisiasa na usalama wa walimu

  • | Citizen TV
    341 views
    Duration: 1:43
    Chama cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya Mafunzo ya Ufundi (KUPPET) kimeibua wasiwasi kuhusu joto la kisiasa nchini, huku vurugu zikiripotiwa katika baadhi ya maeneo. Wakizungumza na wanahabari jijini Nairobi, viongozi wa chama hicho wamesema walimu wengi wanahofia usalama wao, na kwamba baadhi yao tayari wameomba uhamisho kutoka maeneo yenye ushindani mkali wa kisiasa.