25 Sep 2026 10:35 am | Citizen TV 514 views Duration: 1:25 Uongozi wa KUPPET umetishia kuwashawishi wanachama wake kususia Usimamizi wa mitihani yote ya Kitaifa ikiwemo KPSEA, KCSE miongoni mwa mingine mwaka huu.