Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Iran inaendelea kuishambulia Falme za Kiarabu UAE?

  • | BBC Swahili
    14,641 views
    Duration: 1:51
    Uhusiano kati ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umeendelea kuwa na mvutano mkubwa, huku kukiwa na ripoti za mashambulizi ya makombora na droni yanayotajwa kutekelezwa na Iran kulenga miundombinu ya nishati ya UAE. @mariammjahid anaelezea #bbcswahili #Iran #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw