Skip to main content
Skip to main content

KWS yadhibiti moto mkubwa Ziwa Nakuru, wakenya wakionywa dhidi ya kuwasha moto kiholela

  • | Citizen TV
    345 views
    Duration: 1:40
    Shirika la huduma za wanyamapori nchini, KWS, limedhibiti moto uliokuwa umezuka na kusambaa kwa kasi katika mbuga ya kitaifa ya ziwa Nakuru. Moto huo uliochukua zaidi ya saa sita kuzimwa ulizuka siku chache tu baada ya moto mwingine mkubwa kuzuka katika mbuga ya mlima Longonot. KWS ikiwaonya wakenya kujiepusha na kuwasha moto kiholela haswa wakati huu wa msimu wa kiangazi.