9 Oct 2026 10:38 am | Citizen TV 400 views Duration: 1:10 Shirika la huduma kwa wanyama pori nchini KWS limeelezea wasiwasi wake kuhusu ongezeko la uwindaji haramu katika kaunti za Garissa na Tana River baada ya mizoga 16 zaidi kunaswa eneo la Areri huko Bangale.