6 Oct 2026 10:14 am | Citizen TV 743 views Duration: 55s Maafisa wa kulinda wanyama pori KWS wamenasa mizoga zaidi ya ishirini katika eneo la Komor Jilla, Bura Kaskazini kaunti ya Tana River kwenye msako wa kukabiliana na uwindaji haramu.