Skip to main content
Skip to main content

Lamu East kupata barabara ya lami ya kwanza Kisiwani Pate

  • | Citizen TV
    3,402 views
    Duration: 2:38
    Eneo bunge la Lamu Mashariki ambalo ni eneo la Visiwa limepata barabara ya kwanza ya Lami tangu Kenya kupata Uhuru. Barabara hiyo inayoendelea kujengwa Kisiwa cha Pate itarahisisha usafiri wa abiria na mizigo hali inayosababisha gharama ya usafiri kuongezeka.