- 98,177 viewsDuration: 2:10Uwanja wa Ndege wa Manda katika Kaunti ya Lamu umepiga hatua muhimu na kuvunja rekodi baada ya kupokea ndege za kwanza za kimataifa siku ya Jumatano, wakati wa ziara ya Rais William Ruto na mwekezaji wa kiwanda cha kusafisha mafuta Aliko Dangote. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya