- 3,501 viewsDuration: 3:07Mwanaharakati Davis Lichuma aliyeripotiwa kutoweka tangu wiki iliyopita anaendelea kutibiwa katika hospitali moja hapa Nairobi baada ya kupatikana akiwa hali mbaya jana usiku. Lichuma alipatikana katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta akiwa amechanganyikiwa na bila nguo. Familia yake sasa inadai majibu, ikisema ameonyesha dalili za kuteswa na hadi sasa hajazungumza lolote.