- 12,296 viewsDuration: 3:18Viongozi wa muungano wa Linda Mwananchi sasa wanasema kamwe hawatatumika kugawanya kura za upinzani kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027. Viongozi hao wamesema wako tayari kushirikiana kuhakikisha kuwa Rais William Ruto amebwagwa kwenye uchaguzi ujao. Viongozi hao waliokuwa wakifanya mikutano eneo la Gusii wameikashifu serikali kuhusu visa vya utekaji nyara ma mauaji ya vijana