Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi wamkosoa Oburu Oginga na Rais Ruto kuhusu uongozi na makubaliano ya Kisumu

  • | Citizen TV
    7,926 views
    Duration: 2:10
    Wanasiasa wa kundi la Linda Mwananchi wameendelea kumkosoa kinara wa ODM Oburu Oginga wakisema alichukua mamlaka kinyume na katiba ya chama hicho. Wanasiasa hapo waliokuwa kaunti ya Kisumu pia wamemlaumu Rais William Ruto kwa kukosa kutimiza ajenda kumi ya makubaliano waliyoafikia na marehemu Raila Odinga.