Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi yalalamikia kuwindwa kwenye operesheni ya polisi

  • | Citizen TV
    2,168 views
    Duration: 1:58
    viongozi wa vuguvugu la linda mwananchi Wanadai kuwa operesheni ya kuwakabili wahuni wanaovuruga mikutano ya kisiasa na kujeruhi watu imengiliwa kisiasa. viongozi hao waliofika katika makao makuu ya upelelezi wa jinai kutafuta majibu kuhusu baadhi ya wafuasi wao kukamatwa wanasema kuwa walawindwa na DCI ilhali wahuni halisi ambao wanajulikana hawajakamatwa. aidha wanashinikiza kikosi maalum kinachoendesha operesheni huko Kisumu kiondolewe.