Skip to main content
Skip to main content

Litein: wakazi waungana kukarabatisha barabara za eneo hilo

  • | NTV Video
    2,497 views
    Duration: 2:52
    Wakazi wa mji wa Litein katika Jimbo la Bureti wameamua kuchukua hatua wenyewe. Wanasema kuwa wamechoka kusubiri barabara zao zikarabatiwe na sasa wameungana kufanya kazi hiyo kwa nguvu zao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya