- 778 viewsDuration: 2:21Law Society of Kenya kimeelekea mahakamani kupinga gharama ya juu ya mafuta nchini. LSK imesema kuwa bei mpya ya mafuta itawaathiri Wakenya na kuhujumu uchumi wa taifa. Chama hicho sasa kinaitaka mahakama kuiagiza Wizara ya Kawi kuangazia upya gharama ya mafuta na kuweka wazi mfumo unaotumika kuafikia bei hiyo.