Skip to main content
Skip to main content

LSK yataka mawakili kususia vikao vya mahakama kupinga changamoto katika mfumo wa haki

  • | Citizen TV
    801 views
    Duration: 1:27
    Chama cha mawakili nchini kimewashawishi mawakili wote nchini kususia vikao vya mahakama katika kutokana na madai ya ufisadi, mrundiko wa kesi mahakamani na kujikokota kwa shughuli za mahakama nchini. Rais wa chama cha LSK Charles Kanjama anasema licha ya malalamishi yao wameendelea kupuuzwa jambo ambalo linalemaza juhudi zao za kuwatafutia haki wateja wao katika mahakama za humu nchini.