- 467 viewsDuration: 2:32Kampuni ya M-Ajira imeendelea na zoezi la kuwasajili madereva wa malori makubwa mjini Mombasa kwa nafasi za ajira nchini Saudi Arabia. M-Ajira imeshirikiana na kampuni ya SMASCO kutoka Saudi Arabia kuendesha zoezi hilo kwa siku tatu zijazo katika uwanja wa Tononoka. Zoezi hilo linalenga kuwasajili madereva 500 watakaonufaika na nafasi za ajira katika taifa hilo la Ghuba. Steve Shitera anaripoti zaidi.