Skip to main content
Skip to main content

Maadhimisho ya wiki ya wauguzi yameanza kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    309 views
    Duration: 1:17
    Wauguzi katika kaunti ya Bungoma, wameanza rasmi maadhimisho ya wiki ya wauguzi, huku wakilenga kutoa huduma mbalimbali kwa jamii zikiwemo matibabu bila malipo, elimu ya afya, na hamasisho kuhusu umuhimu wa kusajiliwa katika bima ya afya.