Skip to main content
Skip to main content

Maafisa eneo la Chesumei wamewakamata washukiwa 4 kwenye msako wa pombe Nandi

  • | Citizen TV
    586 views
    Duration: 1:15
    Maafisa wa usalama katika Kaunti ndogo ya Chesumei kaunti ya Nandi wamewatia mbaroni watu wanne wanaoshukiwa kuhusika na biashara haramu ya pombe.