2 Jun 2026 2:01 pm | Citizen TV 395 views Duration: 1:54 Maafisa wa usalama na wa utawala katika Eneobunge la Kangema wametoa onyo kwa wezi wa maparachichi mashambani, wakisema kuwa operesheni ya kuwasaka wahusika hao imeanzishwa.